Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







:
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO JIRANI BARABARA
APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 5 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA 
#PARKING KUBWA
BEI NI 500,000/= X 6 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0716 776247
0754 221168



















