Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
××/24
APARTMENT INAPANGISHWA - 1/2
SIFA ZAKE:
✓ 2 BEDROOMS, 1 MASTER
✓ SEBURE
✓ JIKO
✓ STORE
✓ PUBLIC TOILET
✓ PRIVATE LUKU NA MAJI
✓ FENCE
✓ PARKING SPACE KUBWA
LOCATION:
MBEZI LUGURUNI, 1.5KM TOKA MOROGORO ROAD
KODI:
370,000/=TSH × 6
SERVICE CHARGES:
15K KUONA AU 370K UKILIPIA
MAELEZO ZAIDI: +255 694 075 761
.