Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(400,000X6) MBEZI KWA MSUGURI DAKIKA 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
DK 7 KWA MIGUU
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
===
Vyum
✔️ VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO
✔️ PUBLIC TOILET
✔️AKIMALIZA NYUMBA ANANYANYUA FENCE YA KIJITEGEMEA
===
Kodi 400,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 7
Kwa miguu
Kutoka Morogoro road
fence itajengwa wai sasa inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
Itakuwa teale kwa kuamia talehe 25/10 /2024
====
CONTACT US:-
0716223412
0683597453