Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







350,000 x6. 0759151524
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 350,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI INN UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0781 418 437
0759151524
0679 956 863