Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam





Apartment Inapangishwa.
Mahali : Mbezi Beach(shoppers plaza) ,Dar-es-salaam ,Tanzania
Ina :
- Vyumba Viwili Vya Kulala
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Choo cha Public
- Inajitegemea Kwenye Umeme
Bei : 500,000 Tsh Kwa Mwezi.
Itakuwa Wazi Tar 1 Mwezi wa 5.
Kuona ruksa kulipia ruksa
Contact
0625584914