Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000X6)MBEZI KWA MSUGULI 2KM BODA ELF MOJA
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM 2..
ZIPO MBILI NDANI YA FENSI NA MOJA IPO WAZI
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA
-JIKO
-PUBLIC TOILET NDANI
-UMEME WAKE
-MAJI MITER YAKO
-TANK LA MAJI LITA 1000
-NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
BEI NI 200,000 ILIPWE MIEZI 6
HAPA UNAISHINI KWA MALENGO USIPO JENGA BASI UMELOGWA SO WAHI UWISHI KWA MALENGO HII NYUMBA INA BARAKA TELEE...
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747