Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
MAHALI- MBEZI MASANA NJIA GOBA
KODI TSHS LAKI 450,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
APART YA KISASA
KUBWA YA KIFAMILIA
YENYE
Vyumba viwili vya kulala, kimoja Master Sebule Jiko, Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles Slides Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parking Space ipo
pervingblocks
FencedApart
Garden
____________
0762 652 066
0692904876
0719082300
Dalali mbez bechi afircana kuona Nyumba elifu20k