Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(300,000X6)MBEZI KWA MSUGURI DK 3-5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA VIKUBWA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
JIKO
PUBLIC TOILET NDANI
IPO NDANI YA FENCE NUSU
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 300,000 X 6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453