Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT FOR RENT INA PANGISHWA MBEZI BEACH
-----
TUNACHUKUA AIR B.N.B
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Garden safi
Full air condition
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi USD 700 kwa mwezi
Ilipwe miezi 6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni USD 700
----------
CONTACT
#0676_218580 (WHATSAPP)
#0693_673010
#DALALI_BIG_GOBA_MBEZI_BEACH ๐น๐ฟ