Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







Apartment nzuri sana inapangishwa MBEZI MWISHO LUGURUNI ilipo Manispaa ya Ubungo na Ofisi ya mkuu wa wilaya ya UBUNGO
Apartment hii ina sifa zifuatazo
Vyumba viwili vya kulala sebule kubwa jiko zuri na public toilet ( HAINA MASTER HII)
Bei: 150,000 × 6
Luku unajitegemea
Maji yanaflow ndani
Ndani ya fensi na Parking kubwa sana
Apartment hii ipo MBEZI MWISHO LUGURUNI km 1.8 kutoka kituoni
Bodaboda 1000 tu mpaka mlangoni
Service charge ni shilingi 20,000
Agent fee is one month payment
Contact:
##0655256419
##0741547273



















