Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA MAZINGIRA MAZURI SANA INAPANGISHWA
#BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 10/11/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#GARDEN
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#BEI NI 350,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA,, NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
๐๐NJIA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI ZA KUFIKA KWENYE NYUMBA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NJIA NAYO NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
โโโโโโโโ
KUPELEKWA SITE ELFU 20
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747