Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA ZIPO 2 KWENYE FENSI 
APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MPIGI MAGOHE KITUO MACHIMBO UMBALI TOKA MOROGORO ROAD ADI KWENYE NYUMBA KM 3  USAFILI BAJAJI 1000 DALADALA 600 UKISHUKA DAKIKA 3 UPOKWENYE NYUMBA
APARTMENT 01
 SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA 
SEBULE KUBWA 
JIKO KUBWA LITAWEKWA 
MAKABATI 
PUBLIC TOILET YA NDAN 
INAJITEGEME LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA NA LIZEVU TANK
PARKING FULL PEVING BLOCK 
KODI 350,000/= X 4.5.6
APARTMENT 02 
SIFA ZIFUATAZO 
NI VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE SAFI JIKO NA TOILET PUBLIC YA NDANI 
PIA INAJITEGEMEA LUKU MITA YA MAJI DAWASA NA  LIZEVU TANK
KODI 300,000/X=4x5x6
ZITAKUWA TIYALI KUAMIA TAREHE 25-10-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA FINISHING ZA MWISHO 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0713320608
0686334182



















