Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
VYUMBA VYA KULALA VIWILI
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH
———————————————————
KODI LAKI 900,000 KWA MWEZI
———-
MALIPO YA MIEZI 6
——
IKO PEKEE YAKE KWENYE FENSI
____________
______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala kimoja ni Master
#Sebule kubwa#Jiko #
#Choo/Bafu vya public#Vyandani full Ac
#Gypsum #Tiles #
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #pavingblocks
full AIC chumba master
FencedHouse
_____________