Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(250,000X5) MBEZI MWISHO MPIJI MAGOHE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
WAHI MAPEMA KABISA HII SI YA KUKOSA BEI MSELELEKO
KODI NI 250,000X5X6👈
INA PANGISH MBEZI NJIA YA MPGI MAGOHE KITUO KWAWA SEGA
SIFA ZA NYUMBA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
CHOO CHA FAMILY CHA NDANI
JIKO KUBWA LA KISASA LA MAKABATI
SEBULE KUBWA SANA
FULL ICE VYUMBANI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT MBILI TU
NA HII MOJA NDO IPO WAZI
INAJITEGEMEA KWA KILA KITU UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
YANA FLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2👈
USAFILI BAJAJI 700 AU DALADALA 500
UKISHUKA KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG NI 15000👈
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BARABARA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI
PIGA CM CHAPU UPATE KITU POA KABISA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US
0716223412
0683597453
⬇️