Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach(Tankbovu)(Upande Wa Chini) , Dar-Es-Salaam, Tanzania🇹🇿
Ina :
🔸️ Vyumba Viwili Vya Kulala (Kimoja Masta)(Vina Makabati)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko la Kisasa lenye Makabati
🔸️ Parking Space
Inajitegemea kwenye Umeme
Dakika 2 Kwa Mguu Kutoka Lami
Bei : 700,000 Tsh Kwa
Contact
0625584914