Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000X5)MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
KIBANDA CHA MKAA
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 8 KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2VIWILI VYA KULALA VIKUBWA VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA
UMEME LUKU YAKE
MAJI YANAFLOW CHOONI
KODI 250,000 X 5,6
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453