Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
400,000x6. 0759151524
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/01/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA
π APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 400,000/= X 6
π«π« APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
π ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/01/2025
0679 956 863
0759151524
0781418437