Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM 2..
ZIPO MBILI NDANI YA FENSI NA MOJA IPO WAZI
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VIWILI VYA KULALA
-JIKO
-PUBLIC TOILET NDANI
-UMEME WAKE
-MAJI MITER YAKO
-TANK LA MAJI LITA 1000
-NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
BEI NI 200,000 ILIPWE MIEZI 6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELFU 15
0679447338
O753454167