Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







#0742260844_#0657384670
.
#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 500,000/= X 6
SIFA ZAKE
============
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#AIR-CONDITION
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
💫💫APARTMENT HII IPO #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU_JUU AU UNAWEZA KUPITIA #KIMARA_BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU USAFIRI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA



















