Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
Hizi ipo Mbezi - Kimara Dsm km 1
Hapa kuna Aina 2 Tofauti
A.
Family Apartments
#Sebule
#Jiko
#Public toilet
#Room 2 za kulala 1 Master
Bei Laki 4.5 x 6
B.
Bachelor Apartments
#Sebule
#Chumba
#Jiko
#Choo
Bei Laki 2.7 x 6
Luku yake Maji dawasa 24 hrs
Swipe left for more pictures
Cont : 0679062127
Note : Kuja kuona nyumba 15,000
Dalali kodi ya mwezi 1