Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Rainbow
Bei: 1,300,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 2 Kwenye Compound
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule, Dining, Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking Ya Kutosha
☑️Umeme Na Maji Mita Yako
☑️Full Ac
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
0656386610
0686969954