Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA ZINAPANGISHWA HII SIYO YA KUACHA KABISA WATEJA ZANGUU
LOCATION:MBEZI MWISHO(MAGUFURI TERMINAL)
PIKIPIKI:1000
KODI:400,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 5
SIFA YA NYUMBA
🥕VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
🥕SEBURE KUBWA
🥕JIKO LENYE MAKABATI
🥕PUBLIC TOILET
🥕STOO
🥕UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
🥕PARKING KUBWA
🥕FENCE
🥕PAVING BLOCK
CONTACT
0782428327