Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(180,000 × 6) 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗞𝗜𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔 𝗖𝗛𝗔 𝗠𝗞𝗔𝗔
APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 180,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
#PUBLIC TOILET
❌ HAKUNA MASTER BEDROOM
❌HAKUNA JIKO
#KIBALAZA KIKUBWA KIPO
#ZIPO NDANI YA FENSI LAKINI UWEZI KUPAKI GARI NDANI (NO PARKING)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 180,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300