Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
#VYUMBA_VIWILI
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH(karibu kabisa na Lami)
______________
KODI TSHS LAKI 650,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA KUANZIA MIEZI 6
________________
________
APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Viwili vya kulala Master #Sebule #Jiko zuri
#Gypsum #Tiles #aluminium #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
____________