Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Mwisho,Stendi ya Mabasi ya Mkoa
🕔Umbali wa dakika 15 Kutembea Kutoka hapo, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
💧Vyumba viwili, kimoja Master
💧Sebule
💧Jiko
💧Public Toilet
💧Umeme & Maji #Inajitegemea
💧Reserved Water Tank
💧Fenced Car Parking kubwa
💧Zipo 3 Hapa na hii Moja ndio ikowazi
♦️Kodi Tsh 300,000/= ×6(Malipo ni Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊