Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 400,000

(400,000X3),MBEZI

APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= X 3

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA

BEI NI 400,000/= X 3 ULIPE YA MIEZI MITATU TU NA PESA YA TAHADHARI LAKI MBILI 200.000/

APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI MITA MIA SITA UNATEMBEA KWA MIGUU DAKIKA NANE

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI

HII NYUMBA IPO MAZINGIRA MAZURI SANA NA USALAMA UPO WA KUTOSHA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453

dalali_kimara_kimara_kibamba🔵
dalali_kimara_ubungo_kibamba
dalali_kimara_kimara_kibamba🔵

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X3)MBEZI KWA MSUGURI 2KM KUTOKA MOROGORO, BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖➖HII SI YAKUJIULIZA NJOO WAI CHAPU...

Viwanja vinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 900,000,000

LITE INDUSTRIAL PLOT FOR SALE LOCATION MBEZI BEACH DAR-ES-SALAAM-TZ PLOT SIZE 3,333 sqm Second plot...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 900,000

NICE APARTMENT FOR RENT(UNFURNISHED)LOCATION: MBEZI BEACHPRICE : 900,000 TSH PER MONTH PAYMENT: 6 ...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,500,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH AFRIKA...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI 150000X3 /4/5/6======APATIMENTI ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA KITUO KIFURU=======UKISHUKA H...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

#APARTMENT_FOR_RENT_AT_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA ⛳️CHUMBA MASTER⛳️SEBULE YA WASTANI⛳️SEHEMU YA JIKO⛳️CH...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

(350,000X6) MBEZI KWA MSUGURI 1KM BAJAJI 700➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:KWA MSUG...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X3)MBEZI KWA MSUGURI➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:KWA MSUGURI UMBALI KUT...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAM🍅🍅ENEO-MBEZI BEACH 🤗🤗🤗🤗🤗 muundo wa nyumba ni villa zipo...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

#house for rent/unfurnished #3beds #mbezi beach Africana #1,5mil per month #call #0625584914

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment Inapangishwa 📍 Mahali :Mbezi Beach(Kwa Mwamunyange) , Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿Ina: 🔸...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,500,000

#Repost @Dalalimbezibeach_semba • • • • • •#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,500,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH AFRIKA...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,500,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAMENEO-MBEZI BEACHmuundo wa nyumba ni villa zipo 👉2BEI -ml. 1,5...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

NYUMBA INAPANGISHWAIPO - DAR ES SALAAMENEO-MBEZI BEACHmuundo wa nyumba ni villa zipo 👉2BEI -ml. 1,5...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI-MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI______________APART NZUR...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 850,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA# APARTMENT IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH MAKONDE—...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,700,000

#VYUMBA_VITATU _VYA_KULALA#INAPANGISHWA #APARTMENT# IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- MBEZI BEACH UPAND...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 15,000,000

#house for rent/unfurnished #3beds#mbezi beach Africana#1,5 mil per month

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 170,000

APARTMENT_FOR_RENT_AT_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA ⛳️CHUMBA MASTER⛳️SEBULE YA WASTANI⛳️SEHEMU YA JIKO⛳️CHO...