Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam







Apartments zinapangishwa, zipo Mbweni Jkt
Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.
Bei ni 450,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa Piga simu O745010009 au 0742707023
Karibuni sana