Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA VYUMBA VIWILI ๐ก๐ INAPANGISHWA
LOCATION: MBWENI MITA ๐ฏ KUTOKA LAMI
INA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE JIKO NA PUBLIC TOILETS
KODI: TSH 350K KWA MWEZI
ZIPO APARTMENTS TATU NDANI YA FENSI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ Whatโs up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com