Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mecco, Mwanza
APARTMENT INAPANGISHWA MECCO
-ina vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko lenye makabati, stoo na public toilet
-nyumba ina car parking space na water reserve tank
-umeme x maji unajitegemea
-kodi Milioni 2.5 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
📞 0743220097