Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Moshono, Arusha
Tarehe: 19/09/2024
HOUSE FOR RENT ARUSHA
FAMILY APARTMENT 🏠 💥💥💥
👉Ina vyumba 2 vya kulala chumba kimoja ni master
Glass windows
Sitting
Gypsum
Tiles Spain
Kitchen
Cabinet
Heater system
Public toilet
Maji ya Auwsa 24hrs
Luku ya umeme unajitegemea
Car parking space 🚙
👉 Shared compound
Mahali: MOSHONO
Meter: zero distance kutoka barabarani.
Bei:Laki 350,000/= Kwa mwezi.
💥Ukipenda nyumba piga simu ukicomment utachelewa kujibiwa
👉 Service charge ( kuona nyumba): 10k
MOB: 0789181514... what's up
0745181525
Inst:dalali, Dennis_arusha