Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mwananyamala, Dar Es Salaam


🏙️ Apartment Mpya ya Kisasa Inapangishwa – Mwananyamala 🏠
💎 Vyumba viwili (kimoja ni Master)
🛋️ Sebule kubwa yenye mwanga mzuri
🍳 Jiko safi la kisasa
🚿 Choo cha public
💰 Kodi: 800,000/= kwa mwezi (malipo kuanzia miezi minne)
📍 Eneo tulivu na salama, karibu na huduma zote muhimu
📞 Wasiliana na Mshua: 0678512666
✨ Nyumba mpya kabisa, finishing ya kisasa – wahi mapema!