Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mwenge, Dar Es Salaam


🇹🇿𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MWENGE JIRANI NA STAND
𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 4 Kutoka Stand
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vya Kulala Na Kimoja Wapo Master
✍️Kitchen With Cabinets
✍️Public Toilet Nzuri 🚻
✍️Heater Ya MAJI
✍️Reserve Tank (DAWASA)
✍️Full A/c
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
PRICE: 800,000 Malipo Miezi 6
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp