Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Nyasaka, Mwanza
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA NYASAKA
-ina vyumba viwili vya kulala ( kimojawapo ni self contained ), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina Air Condition, heater, makabati jikoni, water resrve tank na car parking space
-umeme na maji unajitegemea
-kodi ni 500,000 kwa mwezi
-malipo ni miezi 6
☎️ 0743220097