Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Nyasaka, Mwanza
APARTMENT INAPANGISHWA NYASAKA - MADUKA TISA
-ina vyumba viwili vya kulala ( self contained moja ), sebule, dinning, jiko lenye makabati, stoo na public toilet
-nyumba ina AC, car parking space na water reserve tank
-kodi Milioni 5 kwa mwaka
-malipo ni miezi sita
☎️ 0743220097