Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA, APARTMENT TATU TU!
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER) | SEBULE | JIKO ZURI | PAVING NJE KOTE | TENKI LA MAJI.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KWA RAIS
KODI: 250000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0614130017