Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







#APARTMENT NZURI INAPANGISHWA. TZS. 200,000 KWAMWEZI. Location Pugu Kona Manispaa ya ilala Dar es salaam. Vyumba 2 Sitting room jiko na Public Toilet. Nyumba Ipo ndani ya fensi. Pia Nyumba Inajitegemea Umeme na Maji safi. Mkataba Kodi ya Miezi 4. Umbali kutoka Main road Hadi Kwenye Nyumba ni dakika 8 Kwa Miguu. CALL. 0614130017