Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa laki 2 Kwamwezi ipo Pugu Kona Manispaa ya Ilala Dar es salaam. Vyumba 2 Kimoja Master Sitting room jiko na Public Toilet. Nyumba ipo ndani ya fensi inajitegemea umeme na maji safi. Mkataba Kodi ya Miezi 3 Nakuendelea.



















