Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







APARTMENT ZiNAPANGISHWA (NI MPYAAAA)
VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO ZURI. MAJI YAPO MASAA 24, UMEME UNAJITEGEMEA, NNJE PAVING KOTE, KILA MPANGAJI ANABOMBA LAKE, SEHEMU YA KUFULI NA KUANIKA NGUO.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
KODI 250000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI SITA.
SERVICE CHARGE 10000.
CONTACT:
0760053111
0614130017