Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
πποΈ APARTMENT INAPANGISHWA NDANI YA FEC WAWILI VYUMBA VIWILI, MASTER MOJA, SITTING ROOM, PUBLIC TOILET, JIKO, FEC, MAJI MITA YAKJITEGEMEA NA UMEME LUKU YAKJITEGEMEA,AC,CCTV CAMERA.
ππ¦BEI LAKI MBILI NA NUSU (250,000/=) KWA MWENZI MKATABA MIEZI MITATU 3 AU SITA 6.
πβοΈIPO PUGU KAJIUNGENI, KITUO PUGU KONA MATAA, WILAYA ILALA, DAR ES SALAAM.
ππ0712315920.CALL&WHTSPPY.24HR
πβοΈπ 0762102059.CALLLL.24HR