Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA (APARTMENT MBILI) NYUMBA MPYAA.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA NI MASTER), SEBULE NA JIKO. MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KONA MATAA
KODI: 150000 KWA MWEZI.. MALIPO MIEZI KWANZIA MITATU NA KUENDELEA.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111