Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment iyo ya kisasa sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei laki tano
@
Ipo maeneo ya sinza kwa remmi
@
Ni nyumba ya vyumba 2 sebule jiko choo
@
Kwenge zipo 3 kila moja inajitegema kwa
Kwa kila kitu
‘@
Kodi ya miez 7 na dalali 8
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Mpaka unapata nyumba
@
Kwa mawsiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687