Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment Nzuri Inapangishwa
Mahali: Sinza Hood
Bei: 600,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Zipo 4 Moja Ndiyo Inapangishwa
☑️Mtaa Umetulia Sana
☑️Vyumba 2, Haina Master
☑️Sebule Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Maramoja Na Itadumu Mpaka Upate)
#0786801000whatsapp