Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: TABATA KIMANGA STAND
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 3 Kutoka Kituoni MAJI Chumvi
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI Vya Kulala Kimoja Wapo Master Bedroom
โข Jiko Kubwa
โข Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 350,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp