Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Tabata Kisukuru,Maji Chumvi Kupitia Ubungo External
๐1.4km Kutoka Mandela Main Road, Bajaji 700 au Boda 1000 Ukishuka Dakika 5 Upo ndani
#SIFAZAKE
๐นVyumba viwili, Hakuna Master
๐นSebule
๐นJiko
๐นPublic Toilet ya ndani
๐นUmeme & Maji #Inajitegemea
๐นFenced Car parking
๐ถKodi Tsh 250,000/=ร6 Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Jose Tsh 250,000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐