Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA IPO TABATA SEGEREA
INA VYUMBA VIWILI
MASTA
SEBULE
JIKO
______
PARKING
NDANI YA FENCE
LUKU YAKO
AC IPO
_______
MADIRISHA ALMINIUM
MAJI DAWASA
DK 4 KUTOKA BARABARANI
KODI TSH 300,000 KWA MWEZI
____________________
PIGA 👉 0788373343
SERVICE CHARGE 15000
=================