Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA
LOCATION
TABATA AROMA . Umbali ni DK moja toka barabarani
SIFA
Sebule kubwa
Vyumba viwili vya Kulala (Kimoja master)
Jiko Kubwa
Public toilet
Heater
Reserve Tank (DAWASA)
Full AC
Ndani ya Fensi
Parking ipo
Kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita
Maji Dawasa
BEI
KODI ni Tsh. 700,000 Malipo Miezi 6
Wasiliana nasi;
0684217177, 0716834095