Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ #Mpyaaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: TABATA KIMANGA
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Kituo cha Bajaji za EXTERNAL na Nauli ya Bajaj Kutoka External Mpaka Kimanga ni Mia 500
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Vyumba VIWILI Vya Kulala Kimoja Wapo Master Bedroom
โข Jiko Kubwa
โข Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 2 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 400,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp