Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


Apartment house for Rent za Kisasa nzuri Mpyaa Kali
Location Tabata Kisukuru Maji Chumvi External Road Usafiri ni Bajaji na Daladala
Kodi 450000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Room 2 za Kulala Moja ni Master Bedroom
Sitting room
Kitchen with Cabinet
Public toilet ndani
Luku yake
Hita Maji Moto na Baridi
Maji Dawasa ndani
Slide window
Tiles
Gypsum
Pavin Block
Garden
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602



















