Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam


APARTMENTS FOR SALE 🔥 - TABATA SEGEREA MWISHO (Viwanja Vya Bank)!
Ukubwa: 600 SQM - Hati miliki ipo tayari!
Ndani: Nyumba 3 za kukodisha:
- 2 za master + jiko (kodi TZS 150,000 kila moja).
- 1 ya vyumba 2 (1 master), sebule, jiko, choo cha umma (kodi TZS 350,000).
Kila nyumba ina LUKU yake, meter ya maji, na tanki la akiba!
Faida Kubwa: 50m tu kutoka lami, mtaa mzuri uliojengeka. Nafasi ya kujenga apartments zaidi na kuongeza mapato!
Bei: TZS 155 Milioni (Maongezi yapo).
Piga Simu Sasa: 0688 412 890. Usikose hii gem! 🏠💰