Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tandika, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa
Hiko locationi Tandika
Gari paka mlangoni
Ina vyumba 2 vyote masta
Sebule na jiko
Luku yako
Ndani ya geti gari ndogo sana ndio unaingia
Kwa mwezi 250000
Kodi kuanzia miezi 6
Njoo muone kazi zangu wateja kupelekwa elfu 10000 baada ya malipo ya mwenye nyumba pesa ya mwezi 1 kwa dalali
Namba 0789215279/0655206815/0754206815.nyumba Ina tailizi na madirisha aluminium.